Kampuni ya Microsoft imetozwa faini ya dola milioni 731 kwa kukosa kuwapa watumiaji wa programu ya Windows uwezo
wa kuchagua mfumo wa kutumia Internet badala ya kutumia mfumo wake wa
Internet Explorer moja kwa moja. Kamishna wa ushindani wa kibiashara
barani Ulaya alisema kuwa alitaka kuzuia makampuni mengine kukosa kutiza
ahadi zao.
No comments:
Post a Comment