Mwanamitindo
mrembo na mwenye mvuto wa kipekee, Amber Rose, 29 na baba wa mtoto
wake, Wiz Khalifa, 25, ambaye pia ni rapa mkali wa ngoma ya Black and
Yellow wamefunga pingu za misha.
Kwa sasa wawili haoa wana mtoto wa kiume aitwaye Sebastian 'The Bash' Taylor Thomaz.
No comments:
Post a Comment