Mtoto Maryam Nassor (8) akisoma moja ya haya iliyo katika kitabu cha Juzuu kwa kichwa, wakati wa hafla ya kuwakirimu na kukabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la tatu la kuhifadhi Juzuu iliyofanyika kwenye Msikiti wa Istiqaama, Ilala jijini Dar es Salaam, jana usiku Agosti 2, 2013. Picha na OMR
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, kuzungumza na waumini wa dini ya Kiislamu, wakati wa hafla ya Kuwakirimu na kukabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la tatu la kuhifadhi Juzuu, iliyofanyika kwenye Msikiti wa Istiqaama, Ilala jijini Dar es Salaam, jana usiku Agosti 2, 2013. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment