Kikao cha kwanza cha Kamati mpya ya Utendaji ya TFF kimempa likizo Katibu
Mkuu wa kuajiriwa, Angetile Osiah mpaka mkataba wake utakapomalizika
Desemba na watamlipa stahili zake. Kikao hicho chini ya Rais Jamal Malinzi,
kimeamua kwamba Ofisa Habari Boniface Wambura atakaimu nafasi ya Angetile
kuanzia leo
Ruto asaini sheria ya mfumo wa miundombinu ya Taifa kuchochea maendeleo ya
Kenya
-
*Na Mwandishi Wetu, Nairobi.*
*Rais wa William Ruto wa Kenya amesaini rasmi sheria ya kuanzishwa kwa
National Infrastructure Fund, hatua inayotajwa kuwa ...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment