JK AREJEA KUTOKA MAREKANI AENDA MOJA KWA MOJA KUWAFARIJI WAGONJWA MUHIMBILI
Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15) aliyelazwa katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji
baadhi ya wagonjwa katika wodi ya Mwaisela leo.(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment