"Unajua
kaka watu wanaongea sana lakini mimi sina bifu lolote na Ivo,hivyo ni
vitu vya kawaida tu na maamuzi ya mtu." Kaseja ameiambia blog ya
Supermariotz.
Simba iliibuka na ushindi wa magoli 3-1 dhidi ya Yanga, matokeo yaliyopelekea Yanga kumtimua kocha Mholanzi Ernie Brandt
No comments:
Post a Comment