Ufundi
rangi wakiume ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja
akipaka rangi milingoti ya magoli kwenye uwanja wa Jamhuri wa mjini
Morogoro , Uongozi wa CCM unaomiliki uwanja huo umeanza kuufanyia
ukarabati mkubwa kama alivyokutwa juzi ( Des 28) ikiwa ni utekelezaji
wa masharti ya kukidhi vigezo vilivyotolewa na Shirikisho la Mpira (
TFF ).
( Picha zote na John Nditi)
|
No comments:
Post a Comment