UMEME BEI JUU,KUANZIA MWEZI WA KWANZA TAR 1 2014 BEI HIZO KUANZA KUTUMIKA,ZIJUE BEI HIZO HAPA
UMEME BEI JUU! Mamlaka ya udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA)
yatangaza bei mpya za umeme kuanza kutumika tarehe 1, January 2014.
Watumiaji wadogo wanaotumia unit zisizozidi 75 kwa mwezi, watalipa Tshs
100 badala ya Tsh. 60 kwa unit.
No comments:
Post a Comment