Pages
▼
USTAWI WA JAMII MNALIONA HILI:::WATOTO WATUMIKA KUJENGA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE , WAFANYISHWA KAZI BILA MALIPO WALA CHAKULA.
Upandaji wa nyasi ukifanywa na watoto katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya
Watoto wakichukua nyasi kwa ajili ya kupanda katika uwanja wa Sokoine
Uwanja wa Sokoine unavyoonekana kwa sasa
Baadhi
ya watu wakishirikiana na watoto kupanda nyasi katika uwanja wa Sokoine
ambao wanadai kufanya kazi hiyo bila malipo. (Mbeya Yetu)
No comments:
Post a Comment