
Anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura kutokana na kuziondoa nyimbo zao kwenye mchakato wa KTMA 2014.
Kupitia Instagram, Diamond ameandika:
Ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na vizazi vyetu pendwa, nafikiri ni vyema tungeanza kuzuia Video na nyimbo za kutoka nje, kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake Haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje… Hii ni sawa na kuzidi kuukuza mziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu… Will the target of reaching our goals ever be achieved?? #Ni_Mtazamo_tu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KUSISIMUA
-
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Justice Ibrahim Juma kuwa mwanasheria mkuu ...
-
dk 47 shabani kisiga anaipatia mtibwa goli la kwanzaaaaaaaaaaaa dk ya 45 mpira wa kurusha faulo kuelekea langoni mwa yangaaaa vic...
sek design. Powered by Blogger.
Followers
Social Icons
On Twitter
Total Pageviews
My Blog List
-
Magazetini Leo Februari 23, 2026; Tunasikitishwa - Kamishna Jenerali DCEA - Copyright 2007-2026 @KAJUNASON BLOG1 hour ago
-
Bilioni 75.4 Zatikisa Arusha DC, Wanafunzi 20,000 Kunufaika - Na Pamela Mollel, Arusha Habari njema kwa wakazi wa Arusha! Halmashauri ya Wilaya ya Arusha imependekeza bajeti ya shilingi bilioni 75.4 kwa mwaka wa fed...15 hours ago
-
Baishara : NMB yakabidhi misaada ya Mil. 21.6/- Shule za Msingi, Sekondari Malinyi - Kupitia Programu ya Uwekezaji kwa Jamii, Benki ya NMB imekabidhi misaada ya madawati 100, viti 100 na meza 100 kwa shule mbili za msingi na moja ya sekon...2 days ago
-
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC - Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili kuimarisha mbi...2 weeks ago
-
TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...2 months ago
-
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - Mhe. *Dkt. Samia Suluhu Hassan* ameapishwa rasmi kuwa *Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania* katika sherehe zilizofanyika leo, *Novemba 3, 2025*, kati...3 months ago
-
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi ya V - *1. VOA Sauti ya America * www.voaswahili.com *2. Vijimambo* lukemusicfactory.blogspot.com11 months ago
-
Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku - Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multic...7 years ago
-
BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI - Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano t...7 years ago
-
-
Shilole Achora Tatoo ya Mwisho Yenye Jina la Mumewe - Mwanamuiki wa kike ambae pia ni mjasiriamali, Shiloleh ameonyesha tatoo aliyochora kwenye mwili wake yenye jina la mume wake mpendwa uchebe yenye jina ‘AS...7 years ago
-
“AFRICAN BEAUTY” IS JUST ANOTHER ONE FROM DIAMOND PLATNUMZ & OMARION WHICH MIGHT BE THE JAM OF THE CONTINENT - The Tanzania Recording Artist Diamond Platnumz released “African Beauty” off his just premiered album “A Boy From Tandale”. The album features Top Artist...7 years ago
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS - NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA *PSLE-2017 EXAMINATION RESULTS* ------------------------------ ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOM...8 years ago
-
-
Mashabiki hawajui, kukaa kimya kwenye muziki sio kupotea kwenye muziki – Ommy Dimpoz - Muimbaji Ommy Dimpoz amesema ukimya wake kwenye muziki sio kwamba alipotea bali alikuwa anafanya mambo mengine nje ya muziki. Ommy Dimpoz amesema watanz...9 years ago
-
KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi - *KARIBU ruvumahabari.blogspot.com kwa habari na matukio zaidi*9 years ago
-
-
-
-
-
-

No comments:
Post a Comment