Diamond Platinumz atajwa kuwania tuzo za kimataifa za Kora Music Awards
Msanii Diamond Platnumz, ameendelea kuchana mawimbi katika anga la
muziki hususan kwa upande wa Afrika ambapo amefanikiwa kuingia katika
orodha ya wasanii 20 Bora ambao wanafanya vizuri Afrika, ambao wataingia
katika kinyanganyiro cha kuwania tuzo za Kora.
Diamond katika
orodha hii, anatokea sambamba na majina ya wasanii wakubwa Afrika, kama
vile Oliver Mtukudzi, Fally Ipupa, Mafikizolo pamoja na wakali wengine
wa muziki barani Afrika
UCHIMBAJI WA DHAHABU KIGOSI, STAMICO YAINGIA MKATABA MPYA
-
Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imetia saini mkataba
wa uwekezaji katika sekta ya madini kwa ajili ya kuendeleza leseni ya
uchimbaji ...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment