kupitia ukurasa wake wa Facebook Hamisi kaandika "Nimenusurika
kuuawa muda si mrefu. Mungu mkubwa. Askari kwenye gari ananiambia na
bahati yako nimekukosa, nililenga kichwa....kijana mmoja alikaa mbele
yangu amepigwa risasi kwenye paji la uso, sijui kama amenusurika! Vijana
wamenilinda kwa ujasiri bila hofu. Leo askari wamenikamata kwa staha.
Siwezi kukubali kamwe dhulma ya mabepari dhidi ya wanyonge! Niliwaahidi
na niliapa kuwatetea..."
UKATA, MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA CHANGAMOTO MPYA KWA WAANDISHI WA HABARI ZA
AFYA RIPOTI
-
IKIWA taarifa na elimu ni nyenzo muhimu ya kukabiliana na changamoto za
afya ripoti inaeleza waandishi wa habari za afya wanakumbwa na hali
inayofanya wasi...
50 minutes ago

No comments:
Post a Comment