TAZAMA PICHA JINSI HOTEL YA PICOLO KAWE ILIVYOUNGUA
Pichani
juu ni taswira za sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe jijini
Dar iliyoteketea kwa moto leo mchana. Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa
ni shoti ya umeme iliyoanzia kwenye nguzo iliyopo jirani na hoteli
hiyo.
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment