Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar siku ya jana. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu ya watu pamoja na watu mashuhuri pamoja na viongozi wa kisiasa nchini katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi. AMEN!
Manyara Tanzanite Marathon yafikia washiriki 2,200, Sendiga azindua Kit
-
Na Mwandishi Wetu.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amezindua rasmi vifaa maalum (KIT)
vitakavyotumiwa na washiriki wa Manyara Tanzanite Marathon 2...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment