PICHA YETU YA SIKU::MTAZAME MJUMBE HUYU WA BUNGE AKISAKATA MAUNO BAADA YA KATIBA KUPITISHWA
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Deo Sanga akisakata
muziki katikati ya Ukumbi wa Bunge hilo baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura
zilizopigwa kupitisha Rasimu ya Mwisho ya Katiba inayopendekezwa mjini Dodoma
jana. Picha na Edwin Mjwahuzi
No comments:
Post a Comment