Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'
akifanya makamuzi ya nguvu usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Matei
Lounge, Area D mkoani Dodoma kwenye Usiku wa Diamond Platnumz.
Diamond akiwadatisha mashabiki wake waliofurika kwa ajili ya
Usiku wa Diamond Platnumz.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na burudani kutoka kwa Diamond.
..Diamond akisema na mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Matei
Lounge, Area D mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.Picha na GPL
No comments:
Post a Comment