Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni Ya jana katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.
INEC yawapiga msasa wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kura Jimbo la Peramiho
-
*Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufaa
Jacobs Mwambegele leo Februari 23, 2026 ametembelea mafunzo ya Wasimamizi
na Wasim...
4 minutes ago






No comments:
Post a Comment