Mhe Balozi wa Rwanda Profesa Mathilda Mukantabana akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa AU Mhe. Amina Salum Ali alipotembelea ofisi za Umoja wa Afrika uliopo Washington, DC nchini Marekani .Balozi Profesa Mathilda anachukua uongozi wa mikutano wa mabalozi wa Afrika katika kipindi cha mwezi April hadi July 2015 akiwakilisha kanda ya Afrika Mashariki.
Kogamano la Upendo na Amani kutikisa Shinyanga
-
*Mgeni Maalumu katika Kongamano la Upendo na Amani litakalo fanyika
Februari 28,2026, Mkoa wa Shinyanga, DESP Dr Khamis Khalid Said kutoka Tume
ya Taifa y...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment