Bondia ngangari, Wladimir Klitschko ameonyesha licha ya kuwa mbabe lakini ni baba mwemaAmeonyesha nibaba anayejali baada ya kutumia muda wake mwingi akiwa na binti yake wa miezi minne.Klitschko alitumia muda mwingi akiogelea na binti huyo kwa raha mustarehe.
TBS yateketeza Tani 45 ya bidhaa za chakula zilizokwisha muda Karatu
-
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kaskazini limeteketeza jumla ya
tani 45 za bidhaa za vyakula zilizokwisha muda wake wa matumizi katika
dampo la ...
21 minutes ago








No comments:
Post a Comment