
Raheem Sterling baada ya kusajili wa kwa pesa nyingi kiasi cha £49million akitokea Liverpool na kujiunga na matajiri manchester city anategemewa kuanza kucheza kwenye mechi na club hiyo hivi karibuni.Hivi sasa Raheem yupo pamoja na wachezaji wenzake kwenye mazoezi chini ya kocha Manuel Pellegrini na boss huyo amesema mechi ya kwanza ya Sterling intakua ni dhidi ya Roma huko Jumanne hii.Mashabiki wa Manchester city wanategemea kumuona mchezaji huyu akitoa mchango mkubwa kwenye club yao baada ya mambo makubwa aliyokua akifanya ndani ya Liverpool .Raheem amepewa jezi namba 7


NA SHAFFIH DAUDA

No comments:
Post a Comment