Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na maafisa waandamizi wa Wizara ya Mifugo baada ya kuzindua Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo Jumatatu Julai 20, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kabila la Kimaasai
baada ya kuzindua Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo Jumatatu Julai 20, 2015. Pamoja naye ni Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Mhe. Raila Odinga ambaye yupo nchini kwa ziara binafsi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma jarida la Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo Jumatatu Julai 20, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipena mikono na Dkt. Kaush Arha baada ya kuongea katika uzinduzi wa Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo Jumatatu Julai 20, 2015.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo kuhusu miradi ya maendeleo ya Wizara ya Mifugo kutoka kwa mmoja wa maafisa waandamizi wa wizara hiyo wakati Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo Jumatatu Julai 20, 2015. hata hivyo Rais alionesha kutofurahishwa na utendaji wa Wizara hiyo na kuwataka watendaji wake wabadilike kimawazo kwa kutenda kazi kwa njia za kisasa ili kuiendeleza sekta hiyo muhimu kwa haraka.
PICHA NA IKULU






No comments:
Post a Comment