Sikiliza Audio: Shilole na Nuhu Mziwanda wameongea haya juu ya kuachana kwao
Ugomvi baina ya wapenzi waliodumu kwa takribani miaka miwili namzungumzia Shilole na Nuhu Mziwanda umeonekana kuthibitishwa kuwa sio kutafuta Kick kama ilivyo dhaniwa bali niukweli wamemwagana kama wenyewe walivyo thibitisha kwa Gossip Cop wa XXL ya CloudsFM. Shilole ameweka wazi kuwa Nuhu kwake sio mpenzi tena na
ikibidi kutafuta mwingine atakaye weza kumfaa na kukaa naye maisha
yakaendelea, Akimainisha kuwa walishafanya ngoma ya pamoja lakini hawezi
kuitoa kwa sasa kutokana na kuachana kwao. Kwake Nuhu naye ameweka wazi kuwa zilipendwa na kusema wameachana kwa wema lakini anashangaa kuona Shilole akileta maneno mengi zaidi. Wasikilize hapa.
No comments:
Post a Comment