Davido ni msanii wa Nigeria ambaye ujazo wa jina lake
ulizidi kuongezeka Tanzania baada ya kufanya ‘number one rmx’ na Diamond
Platnumz, wawili hawa walitaja kuwa kwenye beef baada ya Davido kuandika
sentensi tata baada ya Tanzania kutangazwa mshindi wa shindano la BBA 2014.

No comments:
Post a Comment