Harmonize amekuwepo katika game kwa muda na kurekodi nyimbo kadhaa kabla
hajanza kusikika kila kona. KIDONDA CHANGU ni wimbo aliyeurekodi
kipindi cha nyuma kidogo lakini hukupata airplay ambao wimbo huu ulikuwa
unastahili. Pakua wimbo hapa na ufurahie kipaji cha kijana huyu
HARMONIZE.
Kanisa Katoliki Tanzania lina majimbo 37, Metropolitani Saba kuimarisha
Utume wa Kichungaji
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Kanisa Katoliki nchini Tanzania lina jumla ya majimbo 37 (Dayosisi)
yaliyopangwa katika kanda saba za kikanisa (Metropolitani), hatua...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment