Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu,Sera Bunge, Vijna,Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama wakisalimiana
na Bibi Vai Madelema na mwanae Josia Madelema (kushoto) wakati
walipotembelea kijiji cha Chinangali wilayani Chamwino ambako walikwenda
kukagua athali za njaa kwa wanakijiji Januari 20, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Papa Leo XIV Amteua Mchumi wa Cameroon Kujiunga na Taasisi Muhimu ya Vatican
-
*Vatican City. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, amemteua
mchumi wa maendeleo kutoka Cameroon, Dk. Vera Songwe, kuwa mwanachama wa
Ponti...
6 hours ago

No comments:
Post a Comment