Katika hali isiyo ya kawaida polisi waliokuwa zamu katika mechi ya Yanga na African Sports wakimzalilisha dereva wa daladala linalofanya kazi zake kati ya Mbagala na Makumbusho nje ya Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jambo hili liliwapa watu wengi viulizo maana dereva huyo alipowauliza kwanini wanamkamata tena kwa kumvamia na kuvuta??? Polisi hawa hawakuonyesha hali ya ubinadamu maana wao walivyofanya ni kumdhalilisha dereva. Tunaoomba wahusika waoneni polisi wenu mambo wanayoyafanya, ifike mahali mtu anapotii sheria bila shuruti hata kama hana kosa hakuna haja ya kutumia mabavu.
VIONGOZI GEITA WATAKA USHIRIKIANO WA POLISI JAMII UDUMISHWE KUPUNGUZA
UHALIFU
-
Wananchi wa Mkoa wa Geita wametakiwa kuendelea kudumisha na kuimarisha
ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Jamii na wananchi, ili kupunguza
uhalif...
20 hours ago

No comments:
Post a Comment