Baadhi ya Abiria wakisaidiana kunyanyua basi ili kuokoa
wenzao waliokandamizwa na basi hilo baada ya kuanguka..Hakuna
aliyekufa mpaka tunaenda hewani
Wananchi wakitazama basi lililopata ajali Lindi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovick Mwananzila akitoa maagizo
kwa Mkuu wa wilaya ya Kilwa,Noordin Babu ahakikishe majeruhi,Abiria
wengine wawe wamesaidiwa usafiri wa haraka na kuamuru gari zilizo
katika msafara wake ikiwemo yake kubeba majeruhi hao,Nyuma ni Mkuu wa
Mkoa wa Dar es salaam,Saidi Meck Sadiki
No comments:
Post a Comment