Dereva Aliyesababisha Vifo Vya Watu 14 Asomewa Mashitaka Kitandani
Askari
wa Usalama barabarani mkoa wa Mbeya wakimfunga pingu dereva huyo baada
ya kusomewa mashitaka. ya kusababisha vifo vya watu 14 septemba 24,
baada ya gari lake kupata ajali Wilayani Chunya mkoani humo eneo la
Msangamweru.Mashitaka hayo yalisomwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa
Mahakama ya Wilaya, Michael Mteite.
No comments:
Post a Comment