"Kuanzia leo tarehe 3th Oct 2011 nimeacha kunywa POMBE. Nilianza kunywa pombe tangu mwaka 1999n ikiwa Morogoro Hotel, nilianza kutumia Safari Lager, baadae nikawa natumia Castle Lager, nikawa na KITAMBI. Mwaka 2005 nilianza kutumia Konyagi ili nipungue, mpaka sasa uamuzi huu ni wangu mwenyewe na sio nimeshauriwa na mtu."
No comments:
Post a Comment