Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 4, 2011


Wafanyakazi wa boti ya Mistress wakiwa wamebeba samaki zilizovuliwa katika kisiwa cha Sinda wakati wa mashindano ya uvuvi yajulikanayo kama Latham Open yaliyoshirikisha nchi sita na kudhaminiwa na Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania.






Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania Bw. George Rwehumbiza (kulia) akitoa zawadi kwa mshindi wa uvuvi kwa upande wa watoto Kyle Balarin (15) aliyekuwa akitumia boti ya Tarka katika mashindano yaliyofanyika kisiwa cha Sinda mwishoni mwa wiki, (katikati) ni Commodore Spiras Manoloudis wa Yatch Club akishuhudia utoaji wa zawadi hizo

No comments:

Post a Comment