MAPAMBANO BADO YANAENDELEA KATI YA POLISI NA WAMACHINGA JIJINI MBEYA
Baadhi ya wamachinga wakiwa wamelipindua gari yaina ya toyota na kusimama juu yake huku wakitamka maneno makali kwa polisi na jiji la mbeya kwa kuwanyanyasa katika biashara zao |
Moja ya mabango waliyobeba wamachinga hao |
Wamachinga wakiwazomea polisi eneo la kabwe |
Maduka yote eneo la mwanjelwa mpaka uyole yamefungwa |
Moja ya gari lililobinuliwa na kuwekwa katikati ya barabara ya mbeya tunduma |
Huu ndiyo mtaa wengi huuita mtaa wa kasisi uliyosababisha vurugu zote kati ya wamachinga na askari wa jiji |
Mmachinga akiwarushia jiwe kwa kutumia manati yaani ni hatari tupu |
Askari wa kutuliza fujo naye akiwarushia bomu la machozi wamachinga wanaoandamana |
RISASI ZA MOTO NAZO ZIMETUMIKA KATIKA TUKUKIO HILI |
MABOMU YA MACHOZI NDIYO USISEME KILA MAHALI YAMETAPAKAA |
Mwenye kofia haya mwenye supu haya kila mmoja alikua anaokoa uhai wake |
No comments:
Post a Comment