Pages

Wednesday, November 30, 2011

TAIFA STARS ILIPOIBUKA NA USHINDI WA 3-0 DHIDI YA DJIBOUTI


Mlinzi wa Stars, Shomari Kapombeakichuana na nahodha wa Djibouti
Mohamed Kadar wakati wa mpambano wa TUSKER CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kwenye uwanja wa Taifa Stars ilishinda bao 3-0. Mabao ya timu hiyo yalifungwa na Thomas Ulimwengu, Mwinyi Kazimoto na Yusuf Rashid.0 (PICHA NA MOHAMED MAMBO)
Mfungaji wa bao la pili Mwinyi Kazimoto akibanwa na wachezaji wa Djibouti Mohamed Kadar(6)na illyass Djama ili asilete madhara tena kwenye lango lao..(Picha zote na Mohamed Mambo)
Mlinzi wa Djibouti Samatar Daouda(15) akiumiliki mpira akisaidiwa na mlinzi wa kati Mahdi.nMoumin(18)huku wakinyemelewa na mshambuliaji wa Stars,Saidi Maulid(SMG)
Golikipa wa Djibouti Abdulrahim Youssouf akigalagala chini huku wachezaji wenzie wasijue la kufanya baada ya Mshambuliaji wa Stars Yusuf Rashid jezi na 14 kufunga bao la tatu.

No comments:

Post a Comment