Pages

Tuesday, November 22, 2011

WANANCHI WACHOMA MOTO NYUMBA MBILI YA MWENYEKITI WA MTAA NA MGANGA KWA KILE KINACHODAIWA KUJIHUSISHA NA IMANI ZA KISHIRIKINA MKOANI MBEYA















Wananchi wa mtaa Ilolo Igoma A Kata ya Isanga jana mchana wamezichoma moto na kuzivunja Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.













Wananchi na wanafunzi wakiwa eneo la tukio ambapo wananchi hao jana mchana kuzicho moto na kuzivunja Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.













Pichani ni mabati yaliyoteketea kufuatia sakata la Wananchi wa mtaa Ilolo Igoma A Kata ya Isanga jana mchana wamezichoma moto na kuzivunja Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.













Vikosi vya zima moto na askali polisi wakiwa eneo la tukio jana kudhibiti moto na wananchi kutoendelea kuvunja nyumba Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.













Moja ya sehemu zilizobomolewa na kuchomwa moto na wananchi wa mtaa Ilolo Igoma A Kata ya Isanga jana mchana katika Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.
*****
Na mwandishi wetu.
Wananchi wa mtaa Ilolo Igoma A Kata ya Isanga jana mchana wamezichoma moto Nyumba mbili ya Mwenyekiti wa mtaa huo Bwana Juma Kahawa na ya Mganga Mfipa kufuatia tamko la wananchi kuwataka wahame kwa kile kinachodaiwa kujihusisha na imani za kishirikina.

Hatua hiyo imechukuliwa baada ya wananchi waliitisha mkutano leo kujadili chanzo cha tukio lakini ukaahirishwa kufuatia kutokuwepo kwa ulinzi toka jeshi la polisi ambao wangeweza kuzuia lolote mkutanoni hapo.

Baada ya wananchi hao kuelezwa kuwa hapatakuwepo mkutano huo walipandwa na hasira na kujichukuliwa sheria mikononi mwao kwa kuzichoma nyumba ya Juma Kahawa ambaye alipigiwa kura 150 na ile ya Mganga Mfipa aliyepigiwa kura 20.

Vikosi vya Zima moto na Jeshi la Polisi vilifika eneo la tukio na kuthibiti moto uliokuwa ukiendelea kuteketea nyumba hizo.

No comments:

Post a Comment