Pages

Monday, January 9, 2012

BREAKING NEWSssss............DIAMOND NA WENZAKE WAHUKUMIWA JELA MIEZI 6 IRINGA


Msanii Diamond na mcheza show wake wakiwa nje ya mahakama ya Mwanzo Iringa mjini
Yametimia MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mmiliki wa mtandao huu Bw.Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela MIEZI 6 Kila mmoja ama kulipa faini shilingi 50,000 kwa Kila mmoja ikiwa ni Pamoja na kulipa sh. 30,000 kwa Godwin.

Watuhumiwa wamelipa faini japo mmiliki wa mtandao huu hajapokea fedha hiyo na kukusudia kukata rufaa katika mahatma ya juu zaidi imeandikwa na Misanjo Liviga Mlalahoi

No comments:

Post a Comment