Pages

Monday, January 9, 2012

HOT NEWSzzzzzzzzz MSANII DIAMOND AFIKISHWA MAHAKAMANI IRINGA


Msanii Diamond na mcheza show wake wakiwa nje ya mahakama ya Mwanzo Iringa mjini
Mdhamini wa msanii DIamond Edo Bashir Kushoto akizungumza na mmiliki wa mtandao huu Francis Godwin ambaye ndie mlalamikaji katika kesi hiyo
Karandinga ambalo Diamond ametumia (picha na Misanjo LIvinga Mlalahoi )
MSANII wa muziki wa Kizazi kipya Diamond amewasili mini Iringa na atapandishwa mahakama ya Mwanzo Bomani asubuhi hii ,mapaparazi wajipanga mahakamani

No comments:

Post a Comment