Pages

Thursday, January 19, 2012

MBUNGE WA CCM JEREMIA SUMARI WA JIMBO LA ARUMERU AMEFARIKI DUNIA



 

TAARIFA ya huzuni iliyotua hivi punde katika mtandao huu inadai kuwa mbunge wa jimbo la ARUMERU kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) JEREMIA SUMARI amefariki DUNIA Leo.


Mbunge huyo alikuwa amelazwa wodi la Moi katika Hospital ya Taifa Mhimbili kijiji Dar es Salaam hivyo Leo asubuhi Mungu kaamua kuichukua roho yake .

JEREMIA SUMARI ni mbunge wa pili kwa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufariki kwa mwaka huu 2012 baada ya kutanguliwa na mbunge wa vita maalum Chadema mkoa wa Morogoro Regia Mtema aliyezikwa nyumbani kwake Ifakara Morogoro mazishi yaliyoongozwa na RAIS Jakaya KIKWETE


Mungu azilaze roho za marehemu waheshimiwa wetu mahali pema pepino Amina

No comments:

Post a Comment