BAADA YA MIAKA MINNE JAH RULE ASHEREHEKEA B DAY AKIWA JELA
Licha
ya kuwa gerezani akitumikia kifungo cha miaka miwili, Jah rule ambae
hajasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa miaka minne kutokana na
kuzaliwa siku ya tarehe 29 / 2, ameonekana kusherehekea B DAY yake
akiwa huko huko gerezani
No comments:
Post a Comment