Baada
ya Chris Brown kuanza kuwasiliana wazi wazi na Rihanna kupitia twitter
siku chache tu baada ya Cris kuhudhuria birthday bash ya Rihanna,
kulizuka stori kwamba wapenzi hao wa zamani wamerudiana kutokana na
jinsi walivyoonekana kwenye hiyo party wakishikana mikono na
kukumbatiana, kitendo kilichofanya watu wahisi kwamba Chris na mpenzi
wake Karrueche Tran wameachana, ila sio kweli kwa sababu hizi picha
wamepigwa juzi huko Miami Beach wakiwa wanaenjoy pamoja.
RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE ZIARANI JAPAN: KUKUTANA NA VIONGOZI, KUSUKUMA
AJENDA YA ELIMU
-
*Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Fedha wa Japan,
Mhe. Shin-ichi Yokohama,jijini Tokyo.*
*Na Mwandishi Wetu.*
*Rais Mstaafu, Dk...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment