Mchezaji Nizar Khalfan wa timu ya Taifa Stars akichuana na mchezaji Frasisco Masinga wa Msumbiji The "Mambas"
wakati wa mchezo wao wa kuwania kufuzu katika fainali za kombe la
mataifa ya Afrika yatakayofanyika nchini Afrika Kusini unaofanyika
kwenye uwanja wa Taifa.
Hivi sasa ni Kipindi cha pili na timu zinatoshana nguvu kwa kuwa na
matokeo ya 1-1 katika kipindi cha kwanza kilichomalizika, hebu tuangalie
kipindi hiki cha pili huenda kikabadilisha matokeo, hata hivy timu ya
Msumbiji inaonekana kumiliki sana mpira hasa katika nafasi ya Kiungo
WAZIRI MCHENGERWA AFUNGA ZOEZI LA UANDIKISHAJI DAFTARI LA MPIGA MPIGA KURA
-
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI ) Mohammed Mchengerwa leo 20,Oktoba 2024 amefunga zoezi la
kujiandikish...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment