Pages

Thursday, February 23, 2012

TAMKO LA G-SOLO KUHUSU SUGU NA RUGE

TAMKO LANGU G-SOLO JUU YA WALIOFEKI (23/02/2012

NI LAZIMA SUGU NA MKOLONI MNAJUA CHANZO CHA  HAYA YOTE MLIYO AFIKIANA NA RUGE NA MWISHO WA MAAFIKIANO LAZIMA YAMEKUWA NA MANUFAA KWENU NYINYI NA SIO WASANII WA TANZANIA AMBAO TUKO KWENYE HALI NGUMU NA NYINYI MNAJUA. NAFIKIRI NAFSI ZENU ZINAJUWA KWANINI MMEFANYA HIVI. LAKINI SISI WENZENU TULIOBAKIA TUNAPENDA KUUAMBIA UMMA HATUJUI,

NA WALA HATUKUA TUNAJUA, NA HATUTOTAKA KUJUA, ILA MZIGO HUU WA MAAFIKIANO NYINYI NDIO WAKU UBEBA. SERIKALINI KUNA WATU WENGI WANA UHASAMA TENA MKUBWA, KWANINI SERIKALI ISHUPALIE KUWAPATANISHA SUGU NA RUGE? NA NINA IMANI SUGU ANGEKUWA SIO MMBUNGE RUGE ASINGEOMBA SULUU KWANI HATA NYINYI MNAJUA NI JINSI GANI TULI HASTLE PAMOJA SERIKALINI NA KWENYE IDARA NYETI KUMSAIDIA SUGU APATIWE HAKI ZAKE TENA BEFORE KUWA MMBUNGE NA ILISHINDIKANA NA SERIKALI  ILISIKIA NA HAIKUSEMA CHOCHOTE NA ILIKUWA WAZI KWELI NIGGA KADHURUMIWA KWA VIGEZO VYA USHAHIDI ALIVYOKUWA NAVYO.

SO IMEKUWA EASY KIASI GANI SUGU KUKUBALI YAISHE? NA KWENYE HII MOVEMENT KUNA WATU WENGI AMBAO NI FRONT LINERS KWANINI HATUKUSHIRIKISHWA? KWANINI IWE SIRI? MNAFAHAMU KAMA HII KITU INAGUSA MAISHA YA WATU WENGI? MNAFAHAMU KWA KILE MLICHO AFIKIANA NYINYI KIMECHANGIA BIASHARA ZA WATU KUHARIBIKA? NA SISI HATUPAMBANI NA VIRUS WAFU TU, BALI HATA SISI KWA SISI YEYOTE KATI YETU ATAKAYEZINGUA. SO RUGE AMETUMIA MBINU ILE ILE YA DIVIDE AND RULE TULIYOKUWA TUNA IKATAA NA KAFANYA HIVYO KWA KUSHIRIKIANA NA NYINYI SO MNATUAMBIA NINI?

NA MJUE UGOMVI ULIOPO KATI YA MITAA NA HAWA WAFU SIO SUGU TU, WALA SIO MARALIA TU, NI MAISHA YA KUNDI KUBWA LA WATU WALIOWEKA MATUMAINI YA MAISHA YAO KWENYE SANAA NA WAKALOSTISHWA KISENGE SENGE. NINACHOWEZA KUSEMA,,,, KWAKUWA NYINYI NDIO MLITOA TAMKO LA MAAFIKIANO YENU NA HUYO BB.. TENA NYINYI WENYEWE TOENI TAMKO LA KUKANUSHA YALE MLIYO AFIKIANA KABLA HII KITU HAIJA WACOST NYINYI.

TUNAISHUKURU KAMATI YA BUNGE, MH TINDU NA MH NCHIMBI KWA KAZI KUBWA MLIYOIFANYA KUWAPATANISHA HAWA JAMAA ILI HATA KWENYE TARATIBU ZA KUTAFUTA VAZI LA TAIFA WAFANYE KAZI PAMOJA KAMA ILIVYOKUWA INATAKIWA ILA, ILA INGEKUWA VIZURI ZAIDI KAMA MNGETUSHIRIKISHA WOTE WENYE VILIO JUU YA WAFU NA VIRUS WALIYOKO MEDIA HOUSES NYINGINE. AU LA, INGEKUWA POA ZAIDI MKATUMIA MUDA KAMA HUO MLIO UTUMIA, MMBADILISHE SYSTEM NZIMA YA SHERIA YA HAKI MILIKI. NA SISI MADAI YETU JUU YA SANAA SIO STUDIO TU, WALA SIO VYAMA TU, NI MAMBO MENGI TENA YA MSINGI IKIWEMO SHERIA YA HAKI MILIKI AMBAYO BADO MBOVU NA NDIO INAYOTUANGAMIZA…. TUNASHUKURU ILA SISI HARAKATI ZETU HAZIJAFIKIWA MAAFIKIANO NA HII ISSUE ISIGEUZWE KISIASA HUYO  VIRUS AJIUZULU KAMA ALIVYO JIUZULU MH LOWASSA…G-SOLO

No comments:

Post a Comment