Pages

Sunday, March 25, 2012

SIMBA YASHINDA 2-0 DHIDI YA ES SETIF YA ALGERIA UWANJA WA TAIFA


Mchezaji Emanuel Okwi wa Simba akiruka juu juu kuupiga kwa kichwa mpira katikati ya mabeki wa timu ya Es Setif katika mchezo wa Kombe la Shirikisho unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, Mpira umekwisha Simba imeshinda magoli mawili yaliyofungwa na wachezaji Emmanuel Okwi goli la kwanza na Haruna Moshi "Boban" goli la pili. Mashabiki wa Simba wanashangilia kwelikweli huku na baada ya Simba kufunga magoli mwashabiki wa Yanga walianza kuondoka uwanjani kabla ya mpira kuisha ni kazi kwelikweli.
Mchezaji wa Simba Amir Maftaha akikabana na mchezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria katika mchezo wa
Mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa taifa wakishuhudia mchezo huo.
kwa hisani ya full shangwe 

No comments:

Post a Comment