Hali ya uchafu bado ni tatizo katika maeneo mbali mbali ya mji wa Iringa kutokana na zoezi la usombaji taka hizo katika vituo kwenda kwa kasi ndogo sana.
kamera ya mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com umefanya ziara katika eneo la Frelimo na kushuhudia uchafu huo pichani juu ambao umeziba barabara inayotumiwa na magari eneo hilo la nyumba za polisi .
No comments:
Post a Comment