Richone amefikishwa kwenye
kituo cha polisi Msimbazi Dar es salaam muda mfupi uliopita kwa tuhuma za
kutapeli, kula hela za watu akijifanya yeye ni mwimbaji Ally Kiba ambapo inaaminika
yeye (Richone) alifanya utundu ambao Kiba akipigiwa simu haziendi kwake,
zinakwenda kwenye simu ya Rich ndio anazipokea na kula hizo pesa za show.
picha kwa hisani ya millard ayo website
Nadhani alijua ndo ujanja ona sasa aibu anayoipata! Kama umefulia umefulia tu
ReplyDeletendo ivo kaka
ReplyDelete