Mwanamuziki Diamond katikati akiwa jukwaani na wenzake kabla ya kuimba
wimbo wa msondo katika hafla ya kukabidhi tuzo za wanamuzikii bora za
Kilimanjaro Music Award zainazofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa
Mlimani City jijini Dar es salaam kulia ni Khalid Chokoraa wa bendi ya
mapacha watatu.
Msanii HBaba akiwa amezungukwa na vimwana katika hafla hiyo
Mtayarishaji wa muziki P. Funk kulia akiwa na msanii wa muziki wa Hiphop Jay Moo.
Wakurugenzi wa ASET kutoka kulia ni Asha Baraka akiwa na kaka yake Baraka pamoja na mdau mwingine katika hafla hiyo.
Kulia ni Dina Marios wa Clouds akiwa na Asma Makau kutoka Clouds pia.
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Simba Geofrey Nyange Kaburu kulia akibadilishana mawazo na Mulamu Ghambi katika hafla hiyo.
Mohamed Nasor kushoto akiwa na Evance Aveva wakifuatilia matukio mbalimbali katika hafla hiyo usiku huu.
No comments:
Post a Comment