Pages

Friday, April 27, 2012

MTU ASIYEFAHAMIKA AOKOTWA AKIWA AMEKUFA ENEO LA JESHI KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM






 Wananchi wakiangalia mwili wa mu aliyekutwa amekufa katika shamba la
Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Wanamaji Kigamboni, Dar es Salaam jana.





Askari Jeshi akisaidiana na Polisi kuuchukua mwili wa marehemu, tayari kuupeleka kuhifadhiwa Hospitali


                Askari Kanzu
wakiupandisha mwili kwenye gari la Polisi.

Picha na Khamis Mussa

No comments:

Post a Comment