Jana
ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa msanii aliye hot Bongo kwa sasa na
kinara wa tuzo za Kili 2012, 'Diamond Platinum'. Alifanya shoo ya
kihistoria kwenye Uwanja wa Taifa wa burudani, Dar Live, uliyoko Mbagala
jijini Dar es salaam kwa kwenda na helikopta, akiwa msanii wa kwanza
nchini kufanya hivyo. Hapa anaonekana akiwa Uwanja wa Ndege Terminal One
akielekea kwenye Helikopta tayari kwa safari…
akisindikizwa na rubani wake kuelekea kwenye helikopta
saluti kwa wananchi wa mbagala
sala muhimu..
heliktopa ikiwa juu angani karibu kushuka
wananchi ndani ya Dar live wakimsubiri Diamond
akishuka kwenye gari
washabiki wakishangilia kumwona Diamond..
helikopta ikiondoka ndani ya uwanja wa Darlive
diamond akiagana na rubani..
picha credit na Issa Mnally/Erick Everist wa GlobalPublisher..
No comments:
Post a Comment