Ilikuwa ni shoo iliyopandisha mzuka wa mashabiki kupita kawaida.
Diamond akifanya vitu vyake, akiwa amevalia staili ya US Marine.
katika shoo zote za Dar Live, Diamond amevunja rekodi ya idadi ya mashabiki
licha ya mvua kunyesha wakati fulani, mashabiki hawakukubali kuondoka bila kumuona Diamond!
PICHA: Richard Bukos, Issa Mnally/GPLna fredy njenje.
Kweli huyo ndo plutnumzi?
ReplyDelete