50 Cent.
Rapper 50 Cent mwenye umri sawa
na Afande Sele (Miaka 36) amelazwa hospitali huko Marekani ambapo
mshkaji wake wa karibu Dj Drama amesema jamaa anasumbuliwa na tumbo
“stomach virus” na sio ishu kubwa sana, bado mipango mingine iko
palepale ikiwemo tarehe atakayoiachia mixtape yake mpya ya “The Lost
Tape” May 22.
.
PICHA KWA HISANI YA MILLARD AYO
No comments:
Post a Comment