Rapper Jay Z amejitokeza
hadharani na kuwa wa kwanza kuunga mkono kauli iliyotolewa na rais
Barack Obama wa Marekani kuhusu kusupport ndoa za jinsia moja.
Akiamplfy na CNN, Jigga amesema
suala la kutoruhusu ndoa za jinsia moja kwa siku nyingi limekua
likikwamisha taifa hilo kubwa duniani.
Amesema hizo ishu ni ishu
ambazo watu wanafanya vyumbani ndio maana haitakiwi kuwa ishu kubwa,
kutowaruhusu watu kuwa na ndoa za jinsia moja ni sawa na kitendo cha
kumbagua mtu kutokana na ngozi yake.
Mwandishi wa habari wa CNN
alipomwambia Jay Z kwamba haoni hiyo ishu inaweza kumuweka pabaya rais
Obama ambae anategemea kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu ujao, Jigga
alijibu “kura sio ishu, hii ishu ni kuhusu watu”
BALOZI NCHIMBI NA MONGELLA WAMTEMBELEA MZEE MANGULA
-
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, akiambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Ndugu John
Mongella, amemtembe...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment