Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, May 17, 2012

PATRICK MAFISANGO AFARIKI DUNIA KWA AJALI


Amini usiamini Patrick Mafisango Mutesa hatunae tena duniani. Habari nilizozipata zinasema kiungo huyo wa Simba amepata ajali ya ajali maeneno ya Tazara wakati akijaribu kumkwepa mwenye pikipiki na kwa bahati mbaya gari lake likakosa balance na kuingia mtaroni na hapo ndipo alipopeteza maisha.

No comments:

Post a Comment